Na.Muhamedi Athumani.
Bondia kutoka mkoani morogoro Twaha kiduku amefanikiwa kutwaa ubingwa wa masumbwi wa afrika uzito wa super welter weight kilo 69.9 katika pambano lililofanyika kwenye uwanja wa kinesi jijini dar es salaam.
Kiduku amefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kumpiga kwa pointi bondia kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya kongo sharif kasongo.
Mgeni rasmi katika pambano hilo alikuwa mkurugenzi wa michezo nchini Yusuf singo akiongozana na mbunge wa jimbo la ubungo Saidi kubenea.
Akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na UBO bingwa mpya Twaha Kiduku,singo alisema kiduku anatakiwa kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.
Mbali na bondia huyo kushinda bondia mwingine wa Tanzania Jonas Segu ameshinda ubingwa wa Afrika wa WBF uzito wa light weight kwa kumpiga kwa pointi bondia wa Afrika ya kusini David Rajuili lililofanyika kwenye mji wa cape Town.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Monday, October 1, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI. Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment