ANGEL MERKEL ATOLEA WITO WA KUWEKEZA ZAIDI BARANI AFRIKA - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 31, 2018

ANGEL MERKEL ATOLEA WITO WA KUWEKEZA ZAIDI BARANI AFRIKA


Na Oliva Casian
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametolea wito wa kuwekeza zaidi barani Afrika. 

Katika  mkutano uliofanyika mjini Berlin kuhusu uwekezaji  katika sekta binafsi  barani Afrika ”Compact with Africa”, kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kuwekeza barani Afrika. 

Mkutano huo ulifanyika Jumanne mjini Berlin. 

Vyombo vya habari  kutoka  Ufaransa na Ubelgiji vimefahamisha kuwa  Merkel ametoa wito wa kuwekeza  barani Afrika  kuliko kuwekeza zaidi  Asia. 

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here