MBUNGE WA UKEREWE AJITOA CHADEMA ADAI CHAMA KILIMTELEKEZA WAKAT WA MSIBA - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, October 12, 2018

MBUNGE WA UKEREWE AJITOA CHADEMA ADAI CHAMA KILIMTELEKEZA WAKAT WA MSIBA

Na Hilal Bakar.                                                   Mbunge wa jimbo la ukerewa mkoan mwanza kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Joseph Michael amejiuzulu uwanachama nafas za ubunge na udiwan kwa kile alichodai chama hicho kimepoteza utu.        Katika barua yake aliyoiwasilisha kwa spika wa bunge la jamuhur ya muungano wa Tanzania,Bob Yusto Ndugai oktoba 10,2018 Mkundi amesema CHADEMA  kilimtelekeza katika kipind ambacho alihitaji msaada na ushirikiano kutoka katika cha hicho na uongozi katika msiba wa ajali ya kuzama kwa kivuuko cha MV NYERERE kilotokea mwenz uliopita na kupoteza zaid ya watu 200.                                                       " Kwa msingi huu leo ni siku ya jumatano,oktoba 10,2018 natangaza rasmin kujivua uwanachama wa CHADEMA natangaza pia kujivua nafasi za udiwan wa kata ya bukikoa ubunge wa jimbo la ukerewe",                                  Imeandikwa kwenye sehem ya barua hii.                                                                                         Aidha,  mbunge huyo ameomba kujiunga na chama cha Mapinduz (CCM) ili aweze kufanya siasa safi zenye tija kwa taifa.          

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here