Na Oliva Casian
Msanii wa kike wa muziki bongo,Amber lulu amefunguka iwapo amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa kiume wa bongo Marioo.
Wawili hao ambao kwa sasa wanatamba na wimbo wao mpya uitwao 'yanamiminika' walionekana zaidi pamoja hivi karibuni na kuibua maswali iwapo ni wapenzi.
"Marioo anaweza kuwa kibenteni changu kwani kuna shida gani, sianavutia nini yupo vizuri ,lakini ukiangalia sisi tuna wimbo tayari,so ile ilikuwa attention" Amber lulu ameiambia The playlist ya Times FM.
Hata hivyo May mwaka huu Amber lulu alitaja orodha ya wasanii wa bongo ambao amewahi kutoka nao kimapenzi, wasanii hao ni Barnaba,Aslay,Rammy Galls na Young Dee.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Saturday, October 13, 2018
AMBER LULU AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI NA MARIOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI. Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment