LIVERPOOL YAZIDI KUJIKITA KILELENI.
Na.Muhamedi Athumani.
Klabu ya liverpool inayoshiriki ligi kuu ya nchini England EPL imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kuifunga kablu ya Cardif city magoli manne kwa moja hapo jana.
Liverpool ambayo kwa sasa inanolewa na kocha Jurgen Klopp imepania kuchukua ubingwa wa ligi hiyo kutokana na kasi ya ushindi waliyonayo katika msimu 18/2019.
Magoli katika mechi hiyo ya jana yalifungwa na sadio mane,mohamedi sarah na wengine ambapo liverpool walikuwa uwanja wa nyumbani Anfield.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Sunday, October 28, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI. Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment