SIMBA MAMBO NI MOTO.
Na.Muhamed Athumani.
Unaweza kusema ni kipigo cha paka mwizi baada ya Timu ya simba kuifunga klabu ya Ruvu shooting magoli matano bila katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo uliochezwa leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo katika mchezo huo mshambuliaji wa klabu ya simba Emmanuel okwi alifunga magoli matatu peke yake.
Simba ambayo kwasasa inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo wakati klabu ya Azam ndiyo inayoongoza ligi hiyo baada kuifunga leo singida united ya mkoani singida.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Sunday, October 28, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI. Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment