- STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 17, 2018

                     STARS YALIPIZA KISASI.

Na.Muhamed Athumani

Unaweza kusema ni kulipiza kisasi kwa timu ya taifa ya tanzania taifa stars baada ya kuifunga timu ya taifa ya CapeVerde goli mbili bila.

Hiyo ni baada ya mchezo wa kwanza uliochezwa nchini CapeVerde ambapo stars ilifungwa goli tatu bila lakini katika mchezo uliochezwa siku ya jumanne na stars kuibuka na ushindi huo na kuifanya kufika pointi tano nyuma ya timu ya uganda inayoongoza kundi hilo la L.

Ushindi huo umeipa matumaini mapya ya kusonga mbele kuelekea katika hatua nzuri ya kufuzu katika mashindo ya mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani nchini Cameroon.

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here