RAIS DONALD TRUMP, ASEMA JAJI KAVANAUGHA ALILENGWA KISIASA. - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 9, 2018

RAIS DONALD TRUMP, ASEMA JAJI KAVANAUGHA ALILENGWA KISIASA.

NA SUZAN KANGA.

   Rais Donald Trump amemuomba radhi jaji mpya wa mahakama ya upeo Brett kavanagha, kwa niaba ya raia wake. Kwa kile ambacho kinadaiwa kuwa ni kampen chafu za kisiasa zilizolenga kumchafua Brett kutokana na mambo ya uzushi na uongo.

Trump ameyasema hayo katika sherehe za kuapishwa kwa jaji Hugo mkuu wa mahakama ya juu marekani. Shughuli ambazo zimefanyika katika ikulu ya white house, hatua ya kumthibitisha bwana kavanagha katika uteuzi wake huu ambao ulighubikwa na kashfa za ukatili wa kingono anaodaiwa kuufanya mwaka 1980.

Rais Donald Trump tangu awali, yalisikika madai upande wa chama cha upinzani cha democratic change, yakipinga uteuzi huo wa bwana kavanagha ambae binafsi amemsifia kuwa ni jaji makini na ambae hana jambo lolote baya alilolifanya isipokuwa hizo ni jitihada za kutaka kumchafua tu.


No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here