JAJI MKUU ATEMBELEA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 15, 2018

JAJI MKUU ATEMBELEA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA

Na Oliva Casian
   Jaji mkuu wa Tanzania, Mhe.Prof.Ibrahim Hamis Juma amefanya mazungumzo na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella,Jaji amepata wasaa wa kutoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na wananchi wote waliopatwa na maafa ya kivuko cha MV Nyerere yaliyotokea Septemba,20,2018 katika wilaya ya ukerewe ziwa Victoria.

Aidha;Mhe Jaji Mkuu alimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana katika ofisi yake na mahakama mkoani humo.

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here