DIAMOND SUKARI YA MIOYO YA WATU - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 6, 2018

DIAMOND SUKARI YA MIOYO YA WATU


 Na Oliva Casian

Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salasalaam mh,Paul Makonda ambapo amempa ridhaa diamond na kumtaka aendelee kuwa sukari ya mioyo ya watu sambamba na kuweka video za kukata mauno mtandaoni kutokana na alichokifanya kwa wakazi wa Tandale.

Makonda ambaye ni mlezi wa kampuni ya WCB inayomilikiwa na msanii wa bongo fleva Diamond amesema kwa kazi anayofanya huenda asiowe mapema itamletea shida na kwamba anahitaji muda zaidi wa kufikiria kuwasaidia wàtanzania wenzake.

Pia Makonda amesema"Haya mambo ukiyajua vizuri kwanza ukiwa msanii halafu mashabiki wako wengi wakiwa wanawake, ukioa wanaweza wakakukimbia utafikiri ungewaoa wote".

Makonda amewataka wasanii wrote kuiga mfano wa msanii Diamond wa kurudi na kusaidia jamii iliyowalea.

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here