MBOWE ACHUKIZWA KUKAMATWA ZITTO - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 31, 2018

MBOWE ACHUKIZWA KUKAMATWA ZITTO



Na:Oliva Casian

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo chadema Mh. Freeman mbowe, baada ya tukio la kukamatwa kwa mbunge wa kigoma Zitto kabwe jion ya leo ambapo alifikishwa katika kituo cha polisi oysterbay na baadae kupelekwa kanda maalum na kukosa dhamana mbowe ameonyesha kusikitishwa na kitendo hiko kilichotokea. 

Mbowe amesema kuwa wanasiasa wa upinzani wanatakiwa waachwe huru wafanye kazi yao na mtuhumiwa hapaswi kuwa hakimu kwa yale ambayo yataongelewa na wapinzani. 

Pia ameendelea kushauri iundwe tume huru za uchunguzi na kuahidi chama chake cha CHADEMA na ACT wataendelea kusimama kwa umoja na kutaka haki itendeke kwa zitto. 


No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here