- STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 28, 2018

                                                               Dar es salaam
Na.Muhamedi Athumani.

Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh. Abdallah ulega amesema kuanzia sasa kuipatia chanjo mifugo ni lazima kwa yeyote anaetaka kufuga.

Waziri ulega ambaye pia ni mbunge wa mkuranga mkoani pwani alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya wafugaji wa kuku wa kisasa jijini dar es salam.

Alisema hatua hiyo itasaidia kupunguza magonjwa ya mifugo ambapo serikali imejipanga vizuri kuhakikisha huduma hiyo ya chanjo inapatikana kwa bei rahisi na nafuu kote nchini.

Awali akizungumza kaimu mkurugenzi wa utafiti na mafunzo ya ugavi wa wizara hiyo ya mifugo Dk.Angela mwilawa alisema mafunzo yameshirikisha wataalam katika wilaya tano ambozo ni Ilala,Ubungo,Kinondoni,Temeke na kigamboni.


No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here