USIYO YA JUWA KUHUSU SERENA WILLIUM - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 17, 2018

USIYO YA JUWA KUHUSU SERENA WILLIUM

MAMBO USIYO YA JUWA KUHUSU SERENA WILLIUM.    


Mchezaji aliyeweka rekodi kubwa katika mchezo wa tenesi

 Serena ameendelea kujipatia mafanikio makubwa zaidi kupitia mchezo wa tenis duniani. na ndiye mchezaji bora wa mchezo huo ambao umekuwa ukimuingizia mamilioani ya pesa. Serena amedumu katika mchezo huo kwa muda mrefu na pamoja na maisha yake kujulikana kwa kiasi kikubwa kupitia umaarufu wake lakini yapo mambo ambayo huenda yamekupita kuhusu staa huyu.

 

 Nimekusogezea mambo matano usiyoyajua kuhusu Serena Williams. Mwaka 2009, Serena na dada yake Venus walitangazwa rasmi kuwa na hisa katika uwanja wa mpira wa miguu wa Miami Dolphin games na kuwafanya kuwa wanawake wa kwanza weusi kuweza kumiliki uwanja maarufu kama huo Marekani. Miami Dolphins owner Stephen Ross (center) stands with sisters Serena and Venus

Williams after announcing the tennis stars will own a small stake in the Dolphins' franchise in Miami, Florida, Tuesday, August 25, 2009. (Photo by Charles Trainor Jr./Miami Herald/MCT via Getty Images) Serena na dada yeke Venus siku walipotangazwa Mwaka 1992 wakiwa katika kituo cha Florida Tennis Academy kupitia kituo cha Trans World Sport kilifanya mahojiano na Serena ambaye alikua na miaka 11 pamoja na dada yake akiwa na miaka 12 na kutaka kufahamu wangependa kufanya nini watakapokuwa wakubwa wote walijibu wanataka kuwa wacheza tennis na walipoulizwa mbali na mchezo huo Serena pekee alijibu angependa kuwa daktari wa mifugo

. Peter mziray.

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here