Alfajir ya alhamis iliyopiya wataanzania walishtumiwa na taarifa za kutekwa kwa mfanya biashara maarufu nchin,Mohammed Dewji 'MO Dewji.'. Taarifa zilizotolewa zilielezwa kuwa Mo Dewji alitekwa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni raia wa kigeni ambao mpaka sasa hawajapatikana wala hawajafahamika kwa sababu ya kutekwa kwake. Mbali na kuwa mfanya biashara na kutajwa na jarida la Forbes la marekani kuwa ndie kijana bilionea zaid wa Afrika Mo,pia ni mdau wa michezo hususa mpira wa miguu ambapo hivi sasa mi mwekezaji wa clabu kongwe nchin ya simba. Serekali imesema msako na uchunguzi dhid ya utekwaji wa Mo,Dewji unaendelea kufanyika na vyombo ya doala ili kumpta yeye na waliomteka. Wakati watanzania na wana Afrika masharik kwa ujumla waliendelea kujiuliza juugenikilichotokea kwa kuwa ni jambo geni kufanyika mfanya biashara wa kiwango chake nchin ni kwengineko matukio kama haya hutokea Mara kwa mara huko dunian. Walaamu wa uliz na usalama hasa wageni wanashaur uingiapo nchin hakikisha unachukua hatua za kujilinda kwa kutoka nje ya eneo hotel na inapobid kufanya hivyo tumia usafiri rasmi na usikubal kukod teksi zisizosajiliwa. NA, HILAL BAKAR k
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Friday, October 19, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI. Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment