KANYE WEST KUZITAWALA TUZO ZA GRAMMY - STARHABARI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 24, 2018

KANYE WEST KUZITAWALA TUZO ZA GRAMMY


Na Oliva Casian
Baada ya kiu cha miaka mitano, Kanye West ana mpango wa kuzitawala tuzo za Grammy mwaka 2019. 

Kwa mujibu wa TMZ, Def Jam wameripotiwa kuwasilisha ngoma za Kanye kwenye vipengele vya:  Best Rock Song na Best Rock Performance kwa ngoma yake, Freeee (Ghost Town, Pt. 2) akiwa na Kid Cudi. 

Tuzo za 61 za Grammy zitafanyika February 19 mjini Los Angeles. 

Mbali na hizo, Jina la Kanye pia limewasilishwa kwenye mchujo huo kwa ajili ya kipengele cha mtayarishaji bora wa mwaka, kama utakumbuka, mwaka huu ametayarisha album tano.

No comments:

Post a Comment

Na Sakina Nchila, SABABU SIMBU KUSHINDWA KUMALIZA MBIO MAREKANI.  Maumivu hayo yalimfanya simbu kukimbia umbali wa kilometa 30 tu kati ya ...

Post Top Ad

Responsive Ads Here